STRATEGIC PLAN 2016/17-2020/21

This Strategic Plan has been developed by the East African Kiswahili Commission to define the direction it will take in the next five years and to act as a guide on how it will travel the journey of executing its mandate in an evolving and dynamic socio-economic and political environment.

MPANGO MKAKATI 2016/17-2020/21

Mpango Mkakati huu umeandaliwa na Kamisheni ya Kiswahili
ya Afrika Mashariki (KAKAMA) ili kutoa mwelekeo itakaouchukua
katika miaka mitano ijayo. Huu ni mwongozo wa namna
Kamisheni itakavyotekeleza mamlaka yake katika mazingira
yanayobadilika kiuchumi, kijamii na kisiasa.